7. Swali: Kama sio mwalimu, ninaruhusiwa kufungua akaunti katika benki ya MCB?

Size: px
Start display at page:

Download "7. Swali: Kama sio mwalimu, ninaruhusiwa kufungua akaunti katika benki ya MCB?"

Transcription

1 MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA. 1. Swali: Ninawezaje kufungua akaunti binafsi ya benki? Jibu: Jaza fomu ya kufungulia akaunti ambapo utachagua akaunti binafsi. Fomu zinapatikana katika tawi letu lililopo mtaa wa Samora, Dar es salaam pamoja na Makao makuu ya benki yaliyopo katika jengo la Mlimani Towers; pia unaweza kupata fomu katika tovuti yetu ya 2. Swali: Ni nini kinahitajika ili kuweza kufungua akaunti binafsi? Jibu: Yafuatayo ni mahitaji muhimu: Kitambulisho cha kazi (kama ni mwajiriwa) pamoja na barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri au ofisi za serikali ya mtaa Moja ya vitambulisho vifuatavyo: kitambulisho cha mpiga kura/ kitambulisho cha uraia/ hati ya kusafiria au leseni ya udereva. Kibali cha kazi/ makazi (kwa wasio raia wa Tanzania) 3. Swali: Je ninaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti yangu kwenda katika mitandao ya simu? Jibu: Ndiyo, unaweza kuhamisha pesa kutoka katika akaunti yako ya MCB kwenda Tigopesa, Mpesa na Airtel Money. Ili kuweza kupata huduma za kibenki kutumia simu yako ya mkononi, unatakiwa uwe umesajiliwa na huduma hizo kwa kujaza fomu zinazopatikana katika ofisi zetu. Baada ya kusajiliwa utaweza kupata huduma kwa kupiga namba *150*09# 4. Swali: ninawezaje kujisajili na huduma za kibenki kwa kutumia simu? Jibu: ili kuweza kusajiliwa kwa huduma za kibenki za MCB Mobile kwa kutumia simu yako ya mkononi tembelea tawi letu lililopo samora au piga simu / kwa msaada zaidi. 5. Swali: Ninawezaje kufungua akaunti katika maeneo ambayo hakuna matawi ya MCB? Jibu: Fomu za kufungua akaunti na fomu za mikopo zinapatikana katika tawi letu lililopo mtaa wa Samora na Ofisi za Makao Makuu zilizopo jengo la Mlimani Tower, Dar es Salaam na katika ofisi zote za CWT nchi nzima. Pia unaweza kupakua fomu hizo kupitia tovuti ya halafu ijaze na kuambatanisha mahitaji kama yalivyoanishwa kwenye swali namba 2, na piga simu / kwa maelezo Zaidi. 6. Swali: Inachukua muda gani kuweza kufungua akaunti? Jibu: Kwa wateja wanaotembelea tawi la Samora, akaunti inafunguliwa papo hapo iwapo mteja atakuwa amekamilisha mahitaji yote muhimu. Kwa wateja wa mikoani, akaunti itafunguliwa ndani ya masaa 24 baada ya kupokea fomu iliyojazwa kikamilifu ikiwa na viambatanisho husika. 7. Swali: Kama sio mwalimu, ninaruhusiwa kufungua akaunti katika benki ya MCB?

2 Jibu: Ndiyo, kufungua akaunti kunaruhusiwa kwa mtu yeyote anayeishi Tanzania anayekidhi vigezo vyote muhimu. 8. Swali: Ni kiwango gani kinahitajika ili kuweza kufungua akaunti? Jibu: kiwango cha kufungulia akaunti kinatofautiana baina ya akaunti moja na nyingine. Kiwango cha chini kabisa cha kufungulia akaunti ni Shilingi 10,000/=. 9. Swali: Je kuna kiwango cha chini cha kuendeshea akaunti? Jibu: Ndio, hata hivyo kiwango hicho kinategemea na aina ya akaunti 10. Swali: Je nitapata kadi ya ATM iwapo nitafungua akaunti binafsi ya akiba? Jibu: Ndiyo, Kadi ya ATM inapatikana kwa akaunti ya Mwalimu savings, Akiba yangu, na Students savings account. 11. Swali: Ninawezaje kuomba mkopo kupitia MCB? Jibu: Unaweza kuomba mkopo kwa kutembelea tawi letu na kupata fomu ya mkopo. Wafanyakazi katika tawi letu watakuongoza katika hatua zote muhimu za kuweza kujaza fomu hiyo. Unaweza pia kupakua fomu ya mkopo kutoka kwenye tovuti yetu ya Yafuatayo ni mahitaji yanayohitajika ili kuweza kupata mkopo; Mwajiri lazima awe na mkataba na benki ya MCB. Hati 3 za mishahara ya karibuni (salary slip). Picha 2 za pasipoti zilizopigwa karibuni. Barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri. Barua ya kuthibitishwa kazini. Barua ya kuajiriwa/ mkataba. Nakala ya kitambulisho cha kazi. Nakala ya kitambulisho kimojawapo kilichothibitishwa kati ya vifuatavyo (kitambulisho cha kupiga kura, hati ya kusafiria, leseni ya udereva, kitambulisho cha uraia) Taarifa za kibenki ya miezi 3 (Bank statement) 12. Swali: Je mnatoa mikopo kwa waajiriwa wa sekta binafsi? Jibu: Ndiyo, wasiliana na tawi letu ili kuweza kujua kama kampuni yako ina mkataba na Mwalimu Commercial Bank kwa ajili ya huduma za mikopo. 13. Swali: Ninaweza kununua hisa za Mwalimu Commercial Bank kwa sasa? Nitapata wapi fomu ya maombi? Jibu: Ndiyo, hisa za Mwalimu Commercial Bank zinauzwa na kununuliwa kupitia mawakala wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).

3 14. Swali: Ni kiwango gani cha riba kinatozwa kwa ajili ya mikopo? Jibu: Kiwango cha riba tunayotoza kwa mikopo kinatofautiana kutoka 18% hadi 22% kwa mwaka. 15. Swali: Ni aina zipi za mikopo mlizonazo? Jibu: Tuna aina mbalimbali za mikopo kama vile; mikopo ya walimu, wafanyabiashara wadogo, makampuni, magari, nyumba na wanafunzi. watu binafsi, 16. Swali: Je ni kwa jinsi gani ninaweza kuweka fedha kwenye akaunti yangu? Jibu:Kuna njia nyingi kama ifuatavyo ; 1. Kufika katika tawi letu lililopo Samora 2. Kutumia mitandao ya simu kuhamisha pesa kutoka Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money kwenda benki, changua Mwalimu Bank kwenye orodha ya huduma za kifedha. 3. Wateja wetu wanaweza kuweka pesa kwenye akaunti zao za Mwalimu Commercial Bank kupitia matawi yote ya Benki ya TPB yaliyopo nchi nzima. 17. Swali: Je nikiweka fedha katika akaunti yangu ya Mwalimu Commercial Bank kupitia matawi ya benki ya TPB na mtandao ya simu inachukua muda gani salio kuonekana kwenye akaunti yangu? Jibu: Ukiweka fedha kwenye akaunti yako ya Mwalimu Commercial Bank kupitia matawi ya benki ya TPB au mitandao ya simu, fedha zinaingia na kuonekana kwenye akaunti yako papo hapo. 18. Swali: Inachukua muda gani kupata mkopo baada ya kuwasilisha fomu ya maombi? Jibu: Baada ya kuwasilisha maombi, na kusaini barua ya ofa, mkopo utatolewa ndani ya siku 7 za kazi. 19. Swali: Itachukua muda gani kupata mkopo baada ya kupitisha mshahara wangu MCB? Jibu: Baada ya kupitisha mshahara na kuwasilisha fomu ya maombi ikiwa na viambatanisho vyote, mteja atapata mkopo ndani ya siku 5 za kazi. Mwalimu Commercial Bank inatoa mikopo kwa wafanyakazi wanaopitisha mshahara na wasiopitisha mshahara. Lakini, wateja wanaopitisha mishahara yao Mwalimu Commercial Bank watapewa punguzo la riba na pia wataweza kupata mkopo wa dharura yaani, MCB Salary Advance. 20. Swali: Mna mipango ya kufungua matawi mikoani? Jibu: Ndiyo, tuna mipango ya kufungua matawi mikoani katika siku za usoni. Lakini kwasasa tupo katika mchakato wa kufungua ofisi ndogo katika mikoa ya Morogoro, Mbeya na Mwanza. 21. Swali: Je mnanunua mikopo kutoka benki nyingine? Jibu: Ndiyo, Mwalimu Commercial Bank inanunua mikopo ya wateja watakaokidhi vigezo na masharti yaliyowekwa.

4 FREQUENTLY ASKED QUESTIONS (FAQS); 1. Q: How do I open a Personal bank account? A: Fill in the account opening form in which you will tick the personal account option among many others. 2. Q: What are the requirements to open a personal bank account? A: Find below minimum requirements: o Employee identity card (if in employment) together with any of Voter s registration card/national identity card/passport/driving license o Resident/Work Permit (For non-residents only) o An introductory letter from employer or government official o Proof of physical address 3. Q: Can I transfer money to mobile wallet from my account with MCB? A: Yes, you can transfer money to Tigopesa, Mpesa and Airtel Money from your MCB account. To get access to mobile banking you must first be registered with mobile banking. The code that MCB is using is *150*09 then you will be able to access the Menu. 4. Q: How do I register with mobile banking? A: To be registered with MCB mobile banking visit our branch or call /558 for assistance. 5. Q: How can I open my account in areas where there are no MCB bank branches? A: Account opening and loan application forms are available at our branch along Samora avenue and Head Office located at Mlimani Tower both in Dar es salaam and also TTU offices across the country. You can also download the forms from our website 6. Q: How long does it take to open an account? A: For customers visiting Samora branch, account will be opened on the same day as long as all the requirements are met. For upcountry customers, the account will be opened within 24hrs after receipt of duly filled application forms and respective attachments. 7. Q: If I am NOT a teacher, am I eligible to open an account with MCB bank? A: Yes, account opening is open to all people residing in Tanzania meeting our minimum KYC requirements. 8. Q: What is the minimum account opening balance? A: Minimum opening balance differs from one product to the other. However, the lowest opening balance is TZS 10,000/= Q: Do you have minimum account operating balance? A: Yes we do, however, the amount depend from product to product. 9. Q: Will I get an ATM card if I open a Savings account? A: Yes, but only for transactional savings account such as Mwalimu savings account, Akiba yangu and Students savings account. Other savings account do not have ATM cards

5 10. Q: How can I apply for a personal loan with Mwalimu Commercial Bank PLC? A: You can apply for a personal loan by visiting our branch and collect loan application form. Our staff at the branch will guide you on all necessary steps. The following are the requirements to apply for a personal loan: - Employer must have an Contractwith MCB bank 3 Original recent payslips 2 passport size photo Introduction letter from employer Confirmation letter Appointment letter / contract Work ID copy Copy of either; Voter s ID, Passport, Drivers licence, National ID Bank statement (If applicable) Copies of securities (where applicable) 11. Q: If I am a teacher and NOT a member of TTU can I get special preference / treatment? A: All government teachers, members and non-members are treated equally. 12. Q: Do you offer loans to employees from private sector? A: Yes, consult our branch to find out if your company is approved for loan services. 13. Q: Can I buy MCB shares now? Where will I get the application forms? A: Yes, MCB shares are now available and traded through Dar es salaam Stock Exchange (DSE). You can buy them through approved DSE brokers. Get their contacts through the DSE Website. 14. Q: What are the interest rates you offer for loans? A: Interest for loans ranges from 18% to 22% p.a. on reducing balance method. Preferential rates are given to customers channelling their salaries through MCB. 15. Q: What kind of loan products do you have? A: We have different kinds of loans such as; Micro loans, SMEs and Corporates, Asset Finance, Mortgage and Student loans. As for consumer loans we are currently offering Mwalimu Personal loans and other Personal loans. 16. Q: What makes you different from other banks? A: MCB bank is different from other banks in various ways such as affordable services to all the public and best product solutions, efficiency and the best of all is that we are registered in the stock market (DSE) which gives customer a chance to own a bank through shares. 17. Q: Do you have any means of your customers making deposits to their accounts with your bank through other means? A: Yes, apart from using Mobile Network Operators (MNOs) transfer funds from Wallet to Bank, our customers can also use Tanzania Postal Bank branches to do so. 18. Q: How long does it take to get a personal loan after submitting my application form? A: After signing an offer letter the loan will be disbursed within 7 working days. 19. Q: How long do I need to pass my salaries at MCB for me to get loan? A: For teachers NOT necessary to pass salary, deductions will be done via Government treasury; monthly repayment will be captured through lawson system. However, customer channelling their salaries through MCB will be given preferential interest rates.

6 20. Q: Why did you call your bank Mwalimu Commercial Bank? Do you segregate other customers? A: Mwalimu Commercial Bank Plc. (hereinafter referred to as MCB ) does not segregate any customer. The genesis of this name came from teachers who are the founders; However, the bank s objective is to empower teachers and the public at large. 21. Q: Do you have any plans to open branches in upcountry? A: Yes, we have a plan to open branches in upcountry. 22. Q: Do you have mobile banking services? A: Yes we do have efficient mobile banking services, that allows you to transfer funds both from Mobile wallet to Bank and from bank to mobile wallet. 23. Q: If I have loans from other banks, will MCB bank buy them? A: Yes, MCB bank will buy loans from selected lenders, if a customer meets the terms and conditions provided. 24. Q: Is this a bank for teachers ONLY? A: NO, this bank offers services to teachers and non-teachers. 25. Q: If I am NOT a teacher can I open Mwalimu savings account? A: NO. You can open Akiba Yangu savings or any other product that meet your demands. 26. Q: Is Mwalimu Savings account ONLY for teachers who are TTU members? No. This product is available to all teachers in Tanzania, regardless of TTU membership status. 27. Q: Can I withdraw up to zero (0) balance? A: No, we have a minimum operating balance that differs from one account product to the other, ranging from TZS 2000/- to 10,000/- for individual accounts.

Freequently Asked Question Maswali na Majibu

Freequently Asked Question Maswali na Majibu www.amanabank.co.tz Freequently sked Question Maswali na Majibu mana Bank Operations Q1 Why does your bank have many branches in Dar es Salaam? Dar es Salaam is a business city with high population compared

More information

REGULATIONS. Made under section 28 THE NATIONAL INDUSTRIES (LICENSING AND REGISTRA- TION) ACT, 1967

REGULATIONS. Made under section 28 THE NATIONAL INDUSTRIES (LICENSING AND REGISTRA- TION) ACT, 1967 THE NATIONAL INDUSTRIES (LICENSING AND REGISTRA- TION) ACT, 1967 (No. 10 OF 1967) REGULATIONS Made under section 28 THE NATIONAL INDUSTRIES REGULATIONS, 2000 Short title Interpretation Act No. 10 of 1967

More information

Highlights TZS Billion. TZS Billion. Total income. Net profit. TZS Billion. Total Assets 1,384 1, ,039 1,862 1,780

Highlights TZS Billion. TZS Billion. Total income. Net profit. TZS Billion. Total Assets 1,384 1, ,039 1,862 1,780 Annual Report / Taarifa ya Mwaka 2008 Highlights 2008 160 154 50 49 140 120 100 135 101 40 30 39 35 80 60 20 TZS Billion 40 20 0 2008 2007 2006 TZS Billion 10 0 2008 2007 2006 Total income Net profit 160

More information

Vodacom Tanzania Public Limited Company. Annual report for the year ended 31 March 2017

Vodacom Tanzania Public Limited Company. Annual report for the year ended 31 March 2017 Vodacom Tanzania Public Limited Company Annual report for the year ended 31 March 2017 Monetise data and digital opportunities Vodacom Tanzania Public Limited Company ( Vodacom Tanzania or the Company

More information

THE OIL AND GAS REVENUES MANAGEMENT ACT, 2015 ARRANGEMENT OF SECTIONS PART I PRELIMINARY PROVISIONS PART II ADMINISTRATIVE PROVISIONS

THE OIL AND GAS REVENUES MANAGEMENT ACT, 2015 ARRANGEMENT OF SECTIONS PART I PRELIMINARY PROVISIONS PART II ADMINISTRATIVE PROVISIONS ISSN 0856-035X THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT No. 10 29 th May, 2015 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No. 22 Vol. 96 dated 29 th May, 2015 Printed by the Government Printer,

More information

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ISSN 0856-034X BILL SUPPLEMENT No.5 8 th June, 2018 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No.23. Vol.99 dated 8 th June, 2018 Printed by the Government Printer,

More information

Standard Chartered Bank Kenya Limited Annual Report Driving investment, trade and the creation of wealth in Kenya

Standard Chartered Bank Kenya Limited Annual Report Driving investment, trade and the creation of wealth in Kenya Standard Chartered Bank Kenya Limited Annual Report 2013 Driving investment, trade and the creation of wealth in Kenya Standard Chartered Bank Kenya Limited Annual Report 2013 1 Contents Business Review

More information

SAFARICOM LTD ANNUAL REPORT 2014

SAFARICOM LTD ANNUAL REPORT 2014 SAFARICOM LTD ANNUAL REPORT 2014 A ONE // HIGHLIGHTS 04 PERFORMANCE AT A GLANCE 06 CHAIRMAN S STATEMENT 10 CEO S STATEMENT TWO // BUSINESS REVIEW 16 WHAT WE DO 18 THE VALUE WE CREATE 20 HOW WE ARE MANAGED

More information

Table of Contents Year Review. 4 Group Cash Value Added Statement. 5 Chairman s Statement. 9 Vision, Mission & Company Values

Table of Contents Year Review. 4 Group Cash Value Added Statement. 5 Chairman s Statement. 9 Vision, Mission & Company Values In celebration of the successful partnership between the Tanzanian government and SABMiller over the last 20 years, we introduce to you the legends that walked this journey and their stories. With SABMiller

More information

COUNTY ASSEMBLY OF NAKURU

COUNTY ASSEMBLY OF NAKURU COUNTY ASSEMBLY OF NAKURU THE HANSARD Wednesday 28 th June 217 Assembly Building The House met at 1.4am [The Temporary Speaker (Hon. Stephen Kiarie) in the Chair] PRAYERS MOTION REPORT OF THE BUDGET AND

More information

Bank on better. National Bank. Integrated Report & Financial Statements

Bank on better. National Bank. Integrated Report & Financial Statements Bank on better National Bank Integrated Report & Financial Statements 2016 Bank on better Jijenge Na National Bank Borrow from as little as Kshs. 5,000/- to Kshs. 5 Million to grow your business. Free

More information

Our Vision Enabling people to advance with confidence and success.

Our Vision Enabling people to advance with confidence and success. Pg 1 DIAMOND TRUST BANK KENYA LIMITED ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS 2011 CORPORATE PHILOSOPHIES Our Vision Enabling people to advance with confidence and success. Our Mission To make our customers

More information

MONETARY POLICY MANAGEMENT

MONETARY POLICY MANAGEMENT TABLE OF CONTENTS LETTER OF TRANSMITTAL... ii PREFACE... iii UTANGULIZI... v BOARD OF DIRECTORS... viii SENIOR MANAGEMENT... ix MEMBERS OF THE MONETARY POLICY COMMITTEE... xi BANK REORGANISATION... xii

More information

TABLE OF CONTENTS BUSINESS REVIEW CORPORATE GOVERNANCE FINANCIAL STATEMENTS OTHER INFORMATION

TABLE OF CONTENTS BUSINESS REVIEW CORPORATE GOVERNANCE FINANCIAL STATEMENTS OTHER INFORMATION TABLE OF CONTENTS BUSINESS REVIEW 2 Who we are 7 Five year Financial Review 8 Delivering on our Strategic Objectives 12 Chairman s Statement 18 Taarifa ya Mwenyekiti CORPORATE GOVERNANCE 24 The Board of

More information

8-13 Chairman s Report 14-19 Managing Director s Report 20-21 Senior Management 33-34 Statement of Directors Responsibilities 41-42 Consolidated Statement of Changes in Equity 35-36 Report of the Independent

More information

VISION AND MISSION STATEMENT

VISION AND MISSION STATEMENT VISION AND MISSION STATEMENT OUR VISION To be the preferred Bank in the provision of comprehensive financial solutions in the region. OUR MISSION At National Bank, we are dedicated to excellence in providing

More information

BUILDING INTO THE FUTURE Tanzania Portland Cement Company Limited Annual Report 2011

BUILDING INTO THE FUTURE Tanzania Portland Cement Company Limited Annual Report 2011 BUILDING INTO THE FUTURE Tanzania Portland Cement Company Limited Annual Report 2011 FINANCIAL HIGHLIGHTS 2007-2011 2007 TZS 000 2008 TZS 000 2009 TZS 000 2010 TZS 000 2011 TZS 000 Number of employees

More information

REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS for the year

REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS for the year REPORT AND for the year Chai Tausi, Bidhaa bora kutoka TATEPA na Wakulima wa Chai Rungwe 2014 2015 Table of Contents Contents...2 Pictures...3 Chairman s Statement (swahili & english)... 4 Financial

More information

TWENTY TWELVE annual report& financial statements we re transforming. National Bank of Kenya Ltd 2012 annual report.

TWENTY TWELVE annual report& financial statements we re transforming. National Bank of Kenya Ltd 2012 annual report. TWENTY TWELVE 2 0 1 2 annual report& financial statements we re transforming www.nationalbank.co.ke Vision and Mission Statement OUR VISION To be the Bank of Choice in the provision of Financial Solutions

More information

2015 Annual Report and Financial Statements. Bank on better

2015 Annual Report and Financial Statements. Bank on better 2015 Annual Report and Financial Statements Bank on better Introduction Our History National Bank was incorporated on 19th June 1968. At the time it was fully owned by the Government. The objective for

More information

Annual Report and Accounts. with. Tanzania

Annual Report and Accounts. with. Tanzania 2011 Annual Report and Accounts with Tanzania Its been 81 years since the opening of our first brewery Tanzania Breweries began as Tanganyika Breweries in 1930. The company was renamed to Tanzania Breweries

More information

2012 Annual Report & Financial Statements

2012 Annual Report & Financial Statements 2012 Annual Report & Financial Statements OUR CORPORATE VISION To be the reinsurer of choice in our chosen markets OUR CORPORATE MISSION To provide quality reinsurance services to our clients in Africa,

More information

CRDB BANK PLC. Taarifa ya Mwaka. Annual Report

CRDB BANK PLC. Taarifa ya Mwaka. Annual Report CRDB BANK PLC Yaliyomo Content 01 Angalizo Kuhusu Taarifa Zitakazotazama Mbele 02 Taarifa za Kampuni 03 Wasifu wa Kampuni 04 Vielelezo vya Kifedha 07 Taarifa ya Ziada 08 Taarifa ya Mwenyekiti 18 Taarifa

More information

Government registers success in financial reforms

Government registers success in financial reforms ISSN: 1821-6021 Vol VIII - No. 42 October 20, 2015 Free with Daily News every Tuesday? According to the public procurement law, any suspension or debarment of a tenderer shall not affect any existing contracts

More information

FinAccess National Survey 2009

FinAccess National Survey 2009 Finaccess National Survey 2009 FinAccess National Survey 2009 Dynamics of Kenya s changing financial landscape JUNE 2009 researchstat@centralbank.go.ke finaccess@fsdkenya.org www.fsdkenya.org FSD Kenya

More information

Tanzania Cigarette Company Ltd. Annual report for the year ended December 31, 2014

Tanzania Cigarette Company Ltd. Annual report for the year ended December 31, 2014 Tanzania Cigarette Company Ltd Annual report for the year ended December 31, 2014 2 Contents 01. Financial highlights 4 02. TCC at a glance 8 Our vision and mission 9 Our values 10 Our History 11 03. To

More information

REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD. Wednesday, 29 th June, (The Deputy Speaker (Hon. Mwambire) in the Chair) PRAYERS

REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD. Wednesday, 29 th June, (The Deputy Speaker (Hon. Mwambire) in the Chair) PRAYERS June 29, 2015 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD Wednesday, 29 th June, 2016 The House met at the County Assembly Chambers, Malindi Town, at 2.30 p.m. (The

More information

Kilimanjaro Porters Assistance Project Monitoring Report Porter Surveys 2010

Kilimanjaro Porters Assistance Project Monitoring Report Porter Surveys 2010 Kilimanjaro Porters Assistance Project Monitoring Report Porter Surveys 2010 Prepared by: Philip Ndekirwa David Mtuy Jenifer Bernard Karen Valenti Robert Forrest August 2011 BACKGROUND Since 2003 the Kilimanjaro

More information

Tanzania Cigarette Company Limited (TCC) Annual Report for the year ended December 31,2016

Tanzania Cigarette Company Limited (TCC) Annual Report for the year ended December 31,2016 Tanzania Cigarette Company Limited (TCC) Annual Report for the year ended December 31,2016 2 Tanzania Cigarette Company Limited (TCC) Contents 01. Financial highlights 4 02. TCC at a glance 10 Our vision

More information

Kawaida Mpya Kukuhudumia popote ulipo. New Normal Serving you wherever you are

Kawaida Mpya Kukuhudumia popote ulipo. New Normal Serving you wherever you are Kawaida Mpya Kukuhudumia popote ulipo New Normal Serving you wherever you are 01 01 01 Yaliyomo 04 Azma Dira Misingi Yetu 06 Angalizo Kuhusu Taarifa Zitakazotazama Mbele 26 08 Wasifu wa Kampuni 20 10 Vielelezo

More information

Endless Possibilities

Endless Possibilities Endless Possibilities 2015 Annual Report & Financial Statements Milestones Pan Africa Insurance Holdings Limited was incorporated on 26th October 1946, then known as Indo Africa Insurance Company Limited

More information

Appendices. 1. Letter of Introduction. 2. Letter of acceptance. 3. Project Implementation plan. 4. Information for Monitoring. 5. Evaluation Summaries

Appendices. 1. Letter of Introduction. 2. Letter of acceptance. 3. Project Implementation plan. 4. Information for Monitoring. 5. Evaluation Summaries Appendices 1. Letter of Introduction 2. Letter of acceptance 3. Project Implementation plan 4. Information for Monitoring 5. Evaluation Summaries 6. Questions to UWATU members 7. Questions to Stakeholders

More information

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2012

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2012 CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2012 contents PAGES Corporate information 2 Board of directors 3 Notice of meeting 4 Chairman s statement 5-6 Taarifa ya mwenyekiti 7-8 Report

More information

Our Mission. Our Values. Our Vision. To be Africa s foremost investment channel

Our Mission. Our Values. Our Vision. To be Africa s foremost investment channel Centum Investment Company Limited Annual Report and Financial Statements Year ended 31 March 2016 Our Vision To be Africa s foremost investment channel Our Mission To create real, tangible wealth by providing

More information

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA.

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA. TANGA CEMENT PLC 2016 ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA www.simbacement.co.tz ANNUAL REPORT 2016 Contents Financial Summary 1 Directors Profiles 3 Chairperson s Statement 7 Managing Director s Report 11 Corporate

More information

Annual Report for the year ended December 31, 2017

Annual Report for the year ended December 31, 2017 Annual Report for the year ended December 31, 2017 Contents 01. Financial highlights 4 02. TCC at a glance 8 Our vision and mission 9 Our values 10 Our history 11 03. To our stakeholders 16 Message from

More information

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA STATEMENT OF REALLOCATION REALLOCATION WARRANT NO.1 OF 2010/2011 VIREMENT BETWEEN VOTES STATEMENT OF REALLOCATION REALLOCATION WARRANT NO.1 OF 2010/2011 SCHEDULE VIREMENT

More information

Annual Report and Financial Statements

Annual Report and Financial Statements 2013 Annual Report and Financial Statements 2 2013 Annual Report and Financial Statements Our Vision To be a dynamic company committed to exceeding customer expectation and increasing our market share

More information

SEPTEMBER 29, 2015 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD

SEPTEMBER 29, 2015 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD SEPTEMBER 29, 2015 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD Tuesday, 29 th September, 2015 The House met at the Temporary Chambers at the defunct Malindi Municipal

More information

ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS

ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS OUR VISION To be the Media of Africa for Africa OUR To create value for our stakeholders and to positively influence society by providing media that informs, educates

More information

ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA. Demonstrate environmental stewardship and promote sustainability in communities.

ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA. Demonstrate environmental stewardship and promote sustainability in communities. ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA 2013 Demonstrate environmental stewardship and promote sustainability in communities. TAARIFA YA MWAKA 2013 ANNUAL REPORT 2013 Demonstrate environmental stewardship and promote

More information

REPUBLIC OF KENYA WEST POKOT COUNTY ASSEMBLY THE HANSARD. Monday, 25 th June, The County Assembly Members met at Kanyarkwat at 2.

REPUBLIC OF KENYA WEST POKOT COUNTY ASSEMBLY THE HANSARD. Monday, 25 th June, The County Assembly Members met at Kanyarkwat at 2. REPUBLIC OF KENYA WEST POKOT COUNTY ASSEMBLY THE HANSARD Monday, 25 th June, 2018 The County Assembly Members met at Kanyarkwat at 2.30 pm SECOND ASSEMBLY, SECOND SESSION BUNGE MASHINANI AT KANYARKWAT

More information

Annual Report Bringing together world class capabilities

Annual Report Bringing together world class capabilities Annual Report 2016 Bringing together world class capabilities 1 Table of contents 1. 10 Year Review...18 2. Cash value added statement...19 3. Chairman s statement...22 4. Taarifa ya Mwenyekiti...26 5.

More information

ANNUAL CENTUM INVESTMENT COMPANY PLC ABRIDGED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS YEAR ENDED 31 MARCH 2018 REPORT

ANNUAL CENTUM INVESTMENT COMPANY PLC ABRIDGED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS YEAR ENDED 31 MARCH 2018 REPORT ANNUAL CENTUM INVESTMENT COMPANY PLC ABRIDGED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS YEAR ENDED 31 MARCH 2018 REPORT 2018 TANGIBLE PROGRESS 04 NOTICE OF THE 51ST ANNUAL GENERAL MEETING 06 NOTISI JUU YA

More information

front cover.pdf 1 4/3/14 5:38 PM

front cover.pdf 1 4/3/14 5:38 PM front cover.pdf 1 4/3/14 5:38 PM 1 Our Vision Enabling people to advance with confidence and success. Our Mission To make our customers prosper, our staff excel and create value for our stakeholders. Our

More information

KENYA POWER ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FINANCIAL YEAR ENDED 30 JUNE

KENYA POWER ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FINANCIAL YEAR ENDED 30 JUNE KENYA POWER ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS FINANCIAL YEAR ENDED 30 JUNE 2012 ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2011/12 THE KENYA POWER & LIGHTING COMPANY LIMITED 1 2 THE KENYA POWER & LIGHTING

More information

ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS

ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS 2015 ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS Achieve More i VISION Enabling people to advance with confidence and success. MISSION To make our customers prosper, our staff excel and create value for our

More information

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM VERSUS AGRICULTURE INPUTS TRUST FUND STOCK

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM VERSUS AGRICULTURE INPUTS TRUST FUND STOCK ~. IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM VERSUS AGRICULTURE INPUTS TRUST FUND STOCK BROKERAGE AGENCIES RESPONDENT Mlay, J. The Plaintiff entered into a loan agreement with, and executed a mortagage

More information

THE KENYA POWER & LIGHTING COMPANY LIMITED STAFF RETIREMENT BENEFITS SCHEME 2013 ANNUAL REPORT

THE KENYA POWER & LIGHTING COMPANY LIMITED STAFF RETIREMENT BENEFITS SCHEME 2013 ANNUAL REPORT 2013 ANNUAL REPORT CONTENTS PAGE Trustees and Professional Advisors 4 About the Fund 6 Fund Highlights 8 Five Year Summary 8 Chairman s Report 11 Trust Secretary s Report 17 Board of Trustees 25 Management

More information

Contents BUSINESS & PERFORMANCE HIGHLIGHTS

Contents BUSINESS & PERFORMANCE HIGHLIGHTS BUSINESS & PERFORMANCE HIGHLIGHTS 6,000 PROFIT BEFORE TAX* 5,633 Profit (KShs Million) 4,000 2,000 2,498 2,648 2,738 4,782 2006 2007 2008 2009 2010 0 Contents SALES BY REGIONS, EXPORTS AND REP Business

More information

Financial Year Ended 30 June Kenya Electricity Generating Company Limited 2013 Annual Report & Financial Statements

Financial Year Ended 30 June Kenya Electricity Generating Company Limited 2013 Annual Report & Financial Statements 61 st Annual Report & Financial Statements Financial Year Ended 30 June 2013 i 2013 Annual Report & Financial Statements Ngong Wind Farm ii 2013 Annual Report & Financial Statements Significant Facts Profile

More information

JUDGMENT OF THE COURT. This is an appeal against the decision of Mlay, J. in Civil Case No.

JUDGMENT OF THE COURT. This is an appeal against the decision of Mlay, J. in Civil Case No. IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM (CORAM: MUNUO, J.A., RUTAKANGWA, J.A., And MJASIRI, J.A.) CIVIL APPEAL NO. 119 OF 2009 NAIMA IBRAHIM AS A TRUSTEE OF MAHAMUD ABDURASUL ISMAIL...APPELLANT

More information

2016 Annual Report & Financial Statements. Annual Report and Financial Statements

2016 Annual Report & Financial Statements. Annual Report and Financial Statements 2016 Annual Report and Financial Statements 1 Contents Notice of the Annual General Meeting... 5 Board of Directors... 7 Management Team...10 Directors, Offices and Statutory Information...12 Report of

More information

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2014 CO2

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2014 CO2 CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2014 CO2 contents PAGES Corporate information 2 Board of directors 3 Notice of meeting 4 Chairman s statement 5-6 Taarifa ya mwenyekiti 7-8

More information

CONTENTS. Directors, Officers and Administration 2. Board of Directors 4. Notice of Annual General Meeting 6. Chairman s Statement 10

CONTENTS. Directors, Officers and Administration 2. Board of Directors 4. Notice of Annual General Meeting 6. Chairman s Statement 10 REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS AT 31 DECEMBER 2015 CONTENTS Directors, Officers and Administration 2 Board of Directors 4 Notice of Annual General Meeting 6 Chairman s Statement 10 Group Managing Director

More information

PACKAGING LINE UPGRADE

PACKAGING LINE UPGRADE PACKAGING LINE UPGRADE The brand new state-of-the-art bottling line at TBL was officially opened on 22 May 2009 and is rated at 48,000 bottles per hour. The bottle washer reduces water usage by 50%. Contents

More information

SPECIAL BILL SUPPLEMENT THE FINANCE ACT, 2015 ARRANGEMENT OF PARTS PART II AMENDMENT OF THE BANK OF TANZANIA, (CAP. 197)

SPECIAL BILL SUPPLEMENT THE FINANCE ACT, 2015 ARRANGEMENT OF PARTS PART II AMENDMENT OF THE BANK OF TANZANIA, (CAP. 197) ISSN 0856-035X THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA SPECIAL BILL SUPPLEMENT No. 1 11 th June, 2015 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No. 24 Vol. 96 dated 12 th June, 2015 Printed by the Government

More information

Annual Report 2002/2003. Corporate Information 2 Maelezo juu ya Kampuni. Board of Directors 3 Halmashauri ya Wakurugenzi

Annual Report 2002/2003. Corporate Information 2 Maelezo juu ya Kampuni. Board of Directors 3 Halmashauri ya Wakurugenzi 1 CONTENTS YALIYOMO Page Ukurasa Corporate Information 2 Maelezo juu ya Kampuni Board of Directors 3 Halmashauri ya Wakurugenzi Management Team 4 Timu ya Wasimamizi Notice of Meeting 5 Ilani ya Mkutano

More information

annual report & accounts

annual report & accounts 2 0 annual report & accounts 1 1 contents Contents Our Vision To be a dynamic company committed to exceeding customer expectation and increasing our market share through the provision of high quality products

More information

ISO 9001: 2015 Certified

ISO 9001: 2015 Certified ISO 9001: 2015 Certified TABLE OF CONTENTS Corporate Information 1 Members of The Board of Trustees 3 Senior Management Team 5 Chairman's Statement 6 Taarifa ya Mwenyekiti 7 Report of the Managing Trustee

More information

Integrated Annual Report and Financial Statements for the year ended 31 December 2014

Integrated Annual Report and Financial Statements for the year ended 31 December 2014 1 2 3 4 Corporate Information Registered Office & Principal Place of Business LR No. 12081/9 Mombasa Road PO Box 30429 00100 Nairobi GPO. Company Secretary Edgar Jumba Imbamba P.O. Box 30429, 00100 Nairobi

More information

THE FINANCE ACT, 2017 ARRANGEMENT OF PARTS AMENDMENT OF THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) ACT, (CAP.147)

THE FINANCE ACT, 2017 ARRANGEMENT OF PARTS AMENDMENT OF THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) ACT, (CAP.147) THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA BILL SUPPLEMENT No.3 2 nd June, 2017 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No.24. Vol.91 dated 2 nd June, 2017 Printed by the Government Printer, Dar es Salaam

More information

COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI

COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI June 26, 2014 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD Thursday, 26 th June, 2014 The House met at the County Assembly Chambers, Malindi Town, 2.30 p.m. [The Temporary Speaker (Hon.

More information

of contents table Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2010 Figures in TZS Letter of Transmittal 2

of contents table Tanzania Portland Cement Company Ltd, Annual Report 2010 Figures in TZS Letter of Transmittal 2 ANNUAL FinancialHighlights table of contents Letter of Transmittal 2 Barua ya kuwasilisha 3 Chairman s Statement 6 Figures in TZS 000 2005 2006 2007 2008 Number of employees (yearly average) 292 304 312

More information

Achieving more together

Achieving more together 2017 Annual Report Achieving more together A proud part of the family Performance in a snapshot For the year ended 31 March 2017 10 Years review 2017 2016 2015 2014 2013 2012 2011 2010 2009 2008 Sales

More information

Annual Report 2009 Taarifa ya Mwaka

Annual Report 2009 Taarifa ya Mwaka Annual Report 2009 Taarifa ya Mwaka Taarifa ya Mwaka 2009 1 Contents Yaliyomo Financial Summary 2 Board of Directors and Profiles 4 Chairperson s Statement 8 Managing Director s Report 10 Corporate Social

More information

Govt vows to task entities that contravened procurement law

Govt vows to task entities that contravened procurement law ISSN: 1821-6021 Vol X - No. 40 October 3, 2017 Free with Daily News every Tuesday DID YOU KNOW? NEWS IN Numbers? A procuring entity is required to specify in a tender document requirements with respect

More information

2013 ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS

2013 ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS DEVELOPMENT GROWTH INNOVATION Annual Report and Financial Statements for the year ended 31 December Vision To be the ultimate provider of innovative and reliable

More information

Application under the. Capital Markets and Securities (Prospectus Requirements) (Amendment) Regulations and the

Application under the. Capital Markets and Securities (Prospectus Requirements) (Amendment) Regulations and the Application under the Capital Markets and Securities (Prospectus Requirements) (Amendment) Regulations 2010 and the Capital Markets and Securities (Nominated Advisors) Regulations 2010 for The 50,000,000

More information

British American Tobacco Kenya plc. Annual Report Cautionary statement

British American Tobacco Kenya plc. Annual Report Cautionary statement We are a strong Company with over 10 brands sold in the Kenyan market. We employ directly and indirectly over 1,800 people and we make cigarettes chosen by a majority of Kenya s adult smokers. BAT Kenya

More information

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2015 CO2

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2015 CO2 CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2015 CO2 contents PAGES Corporate information 2 Board of directors 3 Notice of meeting 4 Chairman s statement 5-6 Taarifa ya mwenyekiti 7-8

More information

APPLICATION TO OPEN A CDS SECURITIES ACCOUNT (To be submitted in duplicate and delivered to the Manager Domestic Markets)

APPLICATION TO OPEN A CDS SECURITIES ACCOUNT (To be submitted in duplicate and delivered to the Manager Domestic Markets) FORM ID: CDS/FORM/02A APPLICATION TO OPEN A CDS SECURITIES ACCOUNT (To be submitted in duplicate and delivered to the Manager Domestic Markets) Manager Domestic Markets Bank of Tanzania P.O. Box 2939 Date:..

More information

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA 2015 ANNUAL REPORT 2015 Contents Financial Summary 1 Directors Profiles 3 Chairperson s Statement 7 Managing Director s Report 11 Corporate Social Investments

More information

Kenya s Population by age segment (2009 census)

Kenya s Population by age segment (2009 census) Kenya s Population by age segment (2009 census) >200 million reads in two years >1,000,000 hits since January 2011 Tens of thousands of SMS messages 26 FM stations every day reaching at least 3.2m Kenyans

More information

In the Name of Allah, the Merciful, and the Compassionate ELIMU FINANCING APPLICATION FORM A. APPLICATION INSTRUCTIONS

In the Name of Allah, the Merciful, and the Compassionate ELIMU FINANCING APPLICATION FORM A. APPLICATION INSTRUCTIONS In the Name of Allah, the Merciful, and the Compassionate ELIMU FINANCING APPLICATION FORM Branch Date A. APPLICATION INSTRUCTIONS 1. Elimu Financing facility shall be issued under Service Ijarah (Ijaratul

More information

Minister for Energy Dr. Medard Kalemani. allocated TZS 700 billion in the 2018/19

Minister for Energy Dr. Medard Kalemani. allocated TZS 700 billion in the 2018/19 ISSN: 1821-6021 Vol XI - No - 22 DID YOU KNOW? The procurement? law provides exclusive preference?erence to women, youth,?uth, the elderly and persons with physical disability 14 Number of days within

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI, MHESHIMIWA MUSTAFA HAIDI MKULO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2007

More information

Twenty years (20) of growth ( ) Our Success Story in Agribusiness Financing

Twenty years (20) of growth ( ) Our Success Story in Agribusiness Financing Twenty years (20) of growth (1996-2016) Our Success Story in Agribusiness Financing Presented by: Ngenzi Sylivester Corporate Agribusiness Unit CRDB Bank Plc, Head Office Dar es Salaam 1 OUR ACHIEVEMENTS

More information

2012 ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS

2012 ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS GROWTH INNOVATION RESEARCH Vision To be the ultimate provider of innovative and reliable tyre solutions. Mission To provide safe mobility with unparalleled experience.

More information

JERK TO YOUR DOOR BIKE COURIER

JERK TO YOUR DOOR BIKE COURIER Please fill out in BLOCK CAPITALS Surname JERK TO YOUR DOOR BIKE COURIER First Name Date Of Birth Address National Insurance Number Email address Home Telephone Number Bank and Branch Mobile Number Sort

More information

The Kenya Power & Lighting Co. Ltd.

The Kenya Power & Lighting Co. Ltd. The Kenya Power & Lighting Co. Ltd. Our Vision To achieve world class status as a quality service business enterprise so as to be the first choice supplier of electrical energy in a competitive environment.

More information

What s inside this report

What s inside this report CONTENTS 1 What s inside this report 2-7 50th Anniversary Highlights HIGHLIGHTS 8-9 Notice of Annual General Meeting Tangazo la Mkutano Mkuu wa Mwaka 10 Corporate Governance 11 Performance Highlights 12-18

More information

UMOJA BRIDGE (UNITY BRIDGE) - MTWARA The Umoja Bridge is a 720 meter long structure that connects Tanzania and Mozambique across the Ruvuma river.

UMOJA BRIDGE (UNITY BRIDGE) - MTWARA The Umoja Bridge is a 720 meter long structure that connects Tanzania and Mozambique across the Ruvuma river. UMOJA BRIDGE (UNITY BRIDGE) - MTWARA The Umoja Bridge is a 720 meter long structure that connects Tanzania and Mozambique across the Ruvuma river. It was inaugurated on 15 May 2010 by the presidents of

More information

SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS

SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS Content Page Directors and Administration 2-3 Operating Subsidiaries and Properties 4 Other Corporate Information 5 Notice of

More information

SURA YA KWANZA. MAFUNZO YA VIKUNDI KWA AKINA MAMA (group dynamics) Kikund i n i mkusanyik o w a wat u waliokubalian a pamoja ii i kutimiza malengo

SURA YA KWANZA. MAFUNZO YA VIKUNDI KWA AKINA MAMA (group dynamics) Kikund i n i mkusanyik o w a wat u waliokubalian a pamoja ii i kutimiza malengo SURA YA KWANZA MAFUNZO YA VIKUNDI KWA AKINA MAMA (group dynamics) Utangulizi 1. Kikundi Nini? Kikund i n i mkusanyik o w a wat u waliokubalian a pamoja ii i kutimiza malengo waliokubaliana pamoja Kikund

More information

LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM (Revised May, 2017)

LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM (Revised May, 2017) LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM (Revised May, 2017) CHECK LIST: COLLATERAL CHECK LIST Original duly filled Loan form Loanee signature Pg 3 & 5 Original Log book/title Copy of ID attached Witness signature

More information

MADISON ASSET UNIT TRUSTS GROUP/INSTITUTION APPLICATION FORM

MADISON ASSET UNIT TRUSTS GROUP/INSTITUTION APPLICATION FORM MADISON ASSET UNIT TRUSTS GROUP/INSTITUTION APPLICATION FORM 1. CLIENT DETAILS Type of Institution: Registered Company Registered Investment Group Other (Specify): Registered Name Registration Number Date

More information

KENYA RE FINANCIAL YEAR ENDED 31 DECEMBER 2016

KENYA RE FINANCIAL YEAR ENDED 31 DECEMBER 2016 1 2 KENYA RE FINANCIAL YEAR ENDED 31 DECEMBER 2016 Page Group Information 4-15 Notice of the 2017 AGM 6-7 Chairman s Overview 12-15 Report of the Directors 16-17 Managing Director s Statement 18-25 Statement

More information

FREQUENTLY ASKED QUESTIONS

FREQUENTLY ASKED QUESTIONS FREQUENTLY ASKED QUESTIONS CREDIT CARDS Which are the different types of cards offered at Prime Bank? VISA Gold card Personal/Corporate VISA Classic Card - Personal/Corporate VISA Platinum Card VISA Golf

More information

uarterly Update INSIDE THE DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE PLC ISSN No ISSUE No. 66 SEPTEMBER, 2015 A) Economic Trend B) Bonds New Listings

uarterly Update INSIDE THE DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE PLC ISSN No ISSUE No. 66 SEPTEMBER, 2015 A) Economic Trend B) Bonds New Listings Q THE DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE PLC uarterly Update ISSN No. 0856 8448 ISSUE No. 66 SEPTEMBER, 2015 INSIDE 1 2 3 4 5 6 7 8 CEO s Message Economic review A) Economic Trend Market Report A) Equities B)

More information

INTEGRATED ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE Part of everyday life

INTEGRATED ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE Part of everyday life INTEGRATED ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2016 Part of everyday life Our Value Statements Vision To be the market leader in the provision of reliable, safe, quality and

More information

Annual Report. and. Financial Statements

Annual Report. and. Financial Statements ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2014 Annual Report and Financial Statements for the Year Ended 30th June, 2014 KENYA LITERATURE BUREAU PUBLISHERS AND PRINTERS Popo Road, Belle-Vue Area, Off Mombasa

More information

Appendix 1 (a): Questionnaires use d i n research

Appendix 1 (a): Questionnaires use d i n research Appendix 1 (a): Questionnaires use d i n research DODOSO KW A VIONGOZ I Kilimanjaro CBR ni Shirika iinalotoa hudum a kw a watu weny e ulemav u w a aina mbalimbal i na kuzui a ulemavu unaowez a kuepukik

More information

Claims Management Claim Form. When you have filled in the form, please send it to us at:

Claims Management Claim Form. When you have filled in the form, please send it to us at: For our use only.../... Claims Management Claim Form When you have filled in the form, please send it to us at: Solicitors Regulation Authority Claims Management The Cube 199 Wharfside Street Birmingham

More information

RE: LETTER OF INTRODUCTIO N

RE: LETTER OF INTRODUCTIO N Appendix 1 Centre Manger Nuru Orphans Center P.O. Box 112 8 Mbeya William Yengi C/0 UAP P P.O. Box 142 6 Mbeya 23/10/2003 RE: LETTER OF INTRODUCTIO N Dear Madam, Refer to the above mentioned subject I

More information

SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS

SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS SAFARI LODGES AND CAMPS HOTELS RESORTS ANNUAL REPORT & FINANCIAL STATEMENTS Content Page Directors and Administration 2-3 Operating Subsidiaries and Properties 4 Other Corporate Information 5 Notice of

More information

EAST AFRICAN COMMUNITY REPUBLIC OF UGANDA PASSPORT

EAST AFRICAN COMMUNITY REPUBLIC OF UGANDA PASSPORT EAST AFRICAN COMMUNITY REPUBLIC OF UGANDA PASSPORT UGANDA MANAGEMENT INSTITUTE ANTI-PLAGIARISM POLICY FREQUENTLY ASKED QUESTIONS on the EAC e-passport Uganda Ordinary EAC e-passport Outer Cover EAST AFRICAN

More information

Housing Microfinance in Tanzania

Housing Microfinance in Tanzania Housing Microfinance in Tanzania Eugen Doce 08.10.2012 F r a n k f u r t S c h o o l. d e Content Structuring of survey and questionnaire Major findings Need for Housing Microfinance Fund? 2 Structuring

More information

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2013 CO2

CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2013 CO2 CARBACID INVESTMENTS LIMITED REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2013 CO2 contents PAGES Corporate information 2 Board of directors 3 Notice of meeting 4-6 Chairman s statement 7-8 Taarifa ya mwenyekiti 9-10

More information

LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM PART A PERSONAL DETAILS. Full names (as per ID) Mrs. Miss M/s. Surname First name Middle name

LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM PART A PERSONAL DETAILS. Full names (as per ID) Mrs. Miss M/s. Surname First name Middle name LOAN APPLICATION AND AGREEMENT FORM PART A PERSONAL DETAILS Full names (as per ID) Mr. C Mrs. Miss M/s Surname First name Middle name Identification document(s) Passport no. ID No. ( Attach photo copies

More information